Kamati ya Fedha, Utumishi na Mipango imetembelea na kujionea eneo litakalojengwa stand ya bus ya Halmashauri ya Mji Nanyamba tarehe 25.07.2023. ikiwa ni katika miradi ya Tactics awamu ya kwanza Halmashauri ya Mji Nnanyamba.
Miradi ya Tacticts Nanyamba ni pamoja na Ujenzi wa standi ya kisasa, kiwanda cha korosho, Ghala la kuhifadhia mazao, kichomea taka pamoja na ujenzi wa barabara kilomita tano zikiwa na taa za barabarani.
Miradi ya Tactics kwa Halmashauri ya Nanyamba kwa awamu ya kwanza itagharimu kiasi cha bilioni 11.5 kwa Fedha za kitanzania.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.