Wakuu wa Divisheni na vitengo Halmashauri ya Mji Nanyamba wametembelea banda la maonesho ya nanenane Ngongo Mkoani Lindi Tarehe 27/07/2023. ikiwa ni katika hatua ya maandalizi ya sherehe ya maonesho ya nanenane katika Halmashauri ya Nanyamba itakayofanyika Tarehe 08.08.2023 Ngongo Mkoani Lindi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.