• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

RAIS SAMIA ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA TATU NANYAMBA

Posted on: September 19th, 2023

Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Ahmed Abbas leo tarehe 19/09/2023 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa mkono wa pole wenye thamani ya Milioni 9 kwa familia tatu za Halmashauri ya Mji Nanyamba zilizopata madhara ya kibinadamu mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mhe. Mkuu wa mkoa aliambatana na  Mbunge wa jimbo la Nanyamba Mhe. Abdallah Dadi Chikota, Katibu tawala mkoa Mtwara, Kaimu Mkuu wa Wilaya, katibu tawala Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ndg. Thomas E. Mwailafu, katibu tawala wilaya ya Mtwara, Ndg. Mwinyi Ahmed Mwinyi, mwenyekiti wa CCM mkoa Mtwara Mwl. Said Nyegedi, kamati ya ulinzi na usalama mkoa Mtwara pamoja na baadhi ya wakuu wa idara wa Halmashairi ya Mji Nanyamba kuwasilisha  mkono huo wa pole.

Akizungumza na familia hizo kwa nyakati tofauti, Mhe. Abbas alimshukuru Mhe. Rais kwa moyo wake wa ukarimu na kujitoa kwa wananchi wake wote, wakati huo huo pia alimshukuru Mh. Chikota kwa kushikamana na wananchi wake.

 Katika hatua nyingine wananchi hao walifanya dua kuomba neema, baraka na ulinzi kwa Mungu.



Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA WANA NANYAMBA

    April 15, 2025
  • MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI DINYECHA YAFANA

    April 12, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    April 10, 2025
  • HAPPY KARUME DAY

    April 07, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.