Mratibu wa Kampeni ya @mslegalaidcampaign katika Halmashauri ya Mji Nanyamba Ndg @kabado_christopher_ na afisa Ustawi wa Jamii Mji Nanyamba wakitoa elimu ya ukatili wa kijinsia shule ya Sekondari Njengwa kata ya Njengwa, kampeni ya Mama Samia Legal Aid inahusisha Jinsia na rika zote ili kuweza kufahamu elimu ya kisheria katika changamoto mbalimbali zinazowakabili.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.