Maadhimisho siku ya afya na lishe ya Mtaa (SALIM) wa Kilimanjaro kata ya Nanyamba leo tarehe 6/12/2024 yamefanyika kwa shughuli za huduma jumuishi za Afua za Lishe na Chanjo zilitolewa ikiwa.
Utoaji wa matone ya nyongeza ya Vitamin A
Utoaji wa Dawa za Minyoo
Upimaji hali ya lishe (uzito pungufu,ukondefu na udumavu)
Mapishi darasa
Huduma ya chanjo
Elimu ya lishe
Elimu ya Ugonjwa wa Malaria
Elimu ya umuhimu wa Vitamin A na Chanjo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.