Timu ya Maafisa lishe kutoka Nanyamba ikishirikiana na Maafisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameendelea na tafiti ya lishe kwa watoto kuanzia miezi 0 mpaka 59 siku ya tano mfululizo na kuweza kufikia kata 11 za Halmashauri ya Mji Nanyamba huku Wananchi wakionesha Ushirikiano Mzuri na Muitikio wa hali ya juu wa tafiti hizo.
Zoezi hilo litakamilika kwa kutembelea kata zote 17 zilizopo
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.