Kampeni ya kitaifa ya utoaji wa Matone ya Vitamini A na dawa za Minyoo ya tumbo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5 kuanzia tarehe 1 hadi 30 June 2025
Ewe Mzazi/Mlezi unahimizwa kumpeleka Mwanao kwenye Kituo cha kutolea huduma za Afya kilichopo karibu nawe
ZINGATIA HUDUMA HII ITATOLEWA BILA MALIPO
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.