TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA KAZI ZA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA ANAWATANGAZIA WALIOORODHESHWA KWENYE TANGAZO HILI KUFIKA TAREHE 22/10/2017 SAA 2:00 ASUBUHI SHULE YA SEKONDARI YA KUTWA NANYAMBA KWA AJILI YA USAILI WA MCHUJO.
WASAILIWA WOTE WANATAKIWA KUZINGATIA KWAMBA WANATAKIWA KUFIKA NA VYETI HALISI (ORIGINAL) VYA ELIMU, TAALUMA NA CHETI CHA KUZALIWA. PILI WANATAKIWA KUJIGHARAMIA NAULI, CHAKULA NA MALAZI.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.