Mamlaka ya Mapato Tanzania @tratanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi Mji Nanyamba wametoa mafunzo ya Mambo muhimu yanayotakiwa kuzingatiwa na Mlipakodi kwa wafanyabishara wa Halmashauri ya Mji Nanyamba ikiwa Pamoja na
Kujua aina ya kodi mbalimbali zinazotakiwa kulipwa na wafanyabiashara hao kupitia
Usajili wa mlipa kodai (TIN NUMBER).
Katika mafunzo hayo wafanyabiashara wametambua pia viwango vya kodi kwa wafanyabiashara wadogo binafsi wenye mauzo yasiyozidi TSH 100M kwa mwaka, kodi ya mapato kwa wafanyabiashara binafsi wanaozidi wenye mauzo zaidi ya TSH 100M , kodi ya Mapato ya vyombo vya Moto aina, matumizi ,Gharama na faida za EFDs mashine pamoja na taratibu za upatikanaji wa leseni za Biashara.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.