Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Nnnyamba imetembelea na kukagua mradi wa Zahanati ya kijiji cha Kibaoni Pamoja na ile ya Kijiji cha Umoja kata ya Milangominne zilizopatiwa shilingi Milioni Hamsini kila moja kutoka serikali kuu ili ziwee kukamilika baada ya kuanza kujengwa na nguvu za wananchi wenyewe. Zahanati hizo zinatarajia kukamilika mwakani, 2024 ambapo zitahudumia wananchi wa kata husika Pamoja kata Jirani.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.