Leo tarehe 29/11/2024 Viongozi wateule wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wamekula kiapo cha Utii, Uadilifu, Uaminifu na utunzaji Siri katika kanda ya Nanyamba, Kiromba na Njengwa.
Viongozi hao wateule wameapishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Mji Nanyamba Mhe Nacygrace Kilimba amewataka viongozi hao kuwatumikia wananchi wao bila ubaguzi na waishi kwa viapo vyao walivyokula.
Halmashauri ya Mji Nanyamba jumla ya Mitaa 9, vijiji 87 na Vitongoji 324 ilikuwa vinagombewa na vyama vya siasa kama vile Chama cha Mapinduzi, Chadema, Cuf na Act
Wazalendo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.