Waandikishaji Wasaidizi na waendesha vifaa ya bayometriki ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Mji Nanyamba leo tarehe 25 Februari 2025 wamepatiwa mafunzo kwa vitendo kuhusu mfumo wa Uandikishaji na matumizi ya 'BVR kit'.Mafunzo hayo yanahusisha namna bora ya ujazaji wa fomu kwa kutumia mfumo wa kuandikisha wapiga kura (Voters Registration Systems-VRS) pamoja na matumizi sahihi ya vifaa vya uandikishaji wa wapiga kura, Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2025.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.