Ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya waheshimiwa madiwani leo wametembelea eneo la dampo la jiji la Mwanza eneo la Buhongwa Wilaya ya Nyamagana ikiwa lengo ni kujifunza jinsi ya kuweka Mji Nanyamba kuwa safi wa mazingira kupitia miradi ya tactis inayotarajiwa kutekelezwa Mji Nanyamba chini ya ufadhili wa Bank ya dunia.Halmashauri ya Jiji ni Jiji linaloongoza kwa majiji kuwa safi kutokana na mipango ya muda mfupi na muda mrefu juu utunzaji wa mazingira.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.