Wananchi wa kijiji cha Mnima kata ya Mnima wakipatiwa elimu ya Msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya @mslegalaidcampaign ijulikanayo Mama Samia Legal Aid ikiwa leo tarehe 28/1/2025 siku ya nne kampeni kwa Mkoa wa Mtwara inayotarajia kutamatika tarehe 2/2/2025.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.