Ni siku ya tatu toka kampeni ya Msaada wa kisheria wa @mslegalaidcampaign ianze kutolewa Mkoani Mtwara kupitia Halmashauri zake tisa, wananchi wa kijiji cha Narunga kata ya Njengwa pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Narunga wamepata huduma hiyo ya msaada wa kisheria baada ya timu ya kutoa elimu hiyo kufika katika kijiji hicho leo tarehe 27/1/2025
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.