Watendaji Kata Halmashauri ya Mji Nanyamba tarehe 02/08/2023 wamepewa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa namna bora ya matumizi ya mfumo wa usimamizi wa Fedha za umma katika vituo vya kutolea huduma (FFARS).
FFARS (Facility Financial Accounting and Reporting System) ni mfumo ulioanzishwa na Serikali ukiwa na lengo la kusimamia mapato na matumizi ya Fedha za Umma.
Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.