• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AWAPONGEZA CHAWI

Posted on: October 7th, 2024


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) leo tarehe 7 Novemba 2024 katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chawi kijiji Cha Chawi kata ya Chawi amewapongeza Wananchi hao kwa kusimamia miradi ya Maendelea vizuri kama inavyotakiwa na Serikali.



Akiaongea mbele ya Mkutano huo Waziri Tax alisisitiza pia suala la amani ya nchi iwe kipaumbele kwa kila raia wa nchi kwasababu bila amani maendeleo hayawezi kupatikana.



Nae Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mtwara vijijini Mhe Nashir Pontiya alitoa salamu kwa niaba ya mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe Chikota kwa kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuzidi kuleta miradi ya maendelea kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 zaidi ya bilioni 7 Halmashauri ya Mji Nanyamba walipokea fedha hizo kwa sekta ya Elimu na Afya tuu.


Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.