• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

ZIARA YA MHE. ABDALLAH DADI CHIKOTA, MBUNGE WA JIMBO LA NANYAMBA TAREHE 05/07/2023.

Posted on: July 6th, 2023

Mhe. Abdallah Dadi Chikota (Mb) ametembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea katika Halmashauri ya mji Nanyamba na kufanya mikutano ya hadhara kwa wananchi siku ya Jumatano tarehe 05/07/2023. Katika ziara hiyo Mhe. Chikota amewahimiza wananchi kutumia fursa mbalimbali zinazojikokeza katika Halmashauri hiyo zikiwemo ujenzi wa barabara, shule za msingi na sekondari katika kujiletea maendeleo ya kiuchumi.

Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa ni pamoja mradi wa ujenzi unaondelea katika shule ya sekondari ya Dinyecha ambapo ipo katika hatua ya boma huku akionesha kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo. Pia ameahidi kuongeza mifuko 50 ya saruji itakayotumika kumalizia ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Chikwaya pamoja na nyumba ya mganga mkuu.

Aidha, Mhe. Chikota amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuteua Halmashauri ya Mji Nanyamba kufanya ubanguaji wa korosho kitaifa, ambapo tayari eneo la Maranje limetengwa kwaajili ya ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na kukamua mafuta kwenye Maganda ya korosho.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.