Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba anawaalika wananchi wote kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa utakayofanyika siku ya Jumamosi Tarehe 08.07.2023 saa saba mchana katika shule ya Msingi Nanyamba Ufundi.
Katika ziara hiyo Waziri Mkuu pia ataembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo shule ya Sekondari Dinyecha na jengo la Utawala.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.