Friday 26th, April 2024
@Nanyamba, Mtwara
Ziara ya Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano ambaye katika mkutano wake wa hadhara amesema ujenzi wa barabara ya Mtwara -Nanyamba hadi Masasi kwa kiwango cha lami utaanza baada ya miezi miwili kwa kuanza na kipande cha km 50 (Mtwara - Mnivata). Pia fidia kwa wanaostahili kulipwa kisheria uhakiki utafanywa mwezi wa tatu. Aidha Wizara itahakikisha kilio cha muda mrefu kuhusu Upatikanaji wa mtandao wa simu za mkononi kwa kata za pembezoni kinapatiwa ufumbuzi mapema.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.