• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

UZINDUZI WA BARAZA LA WAZEE WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

Posted on: December 24th, 2020

BARAZA LA WAZEE LA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA LAZINDULIWA RASMI


Leo tarehe 23.12.2020 Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh. Danstun Kyobya amelizindua rasmi baraza la wazee la Halmashauri

ya Mji wa Nanyamba ambalo litawakilisha wazee wa Halmashauri ya Mji nanyamba kwenye baraza la wazee la Mkoa wa Mtwara

, baraza hilo linalosimamiwa na Mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa niaba ya Mkurugnzi wa Mji linaundwa

 na wajumbe kutoka katika kata zote 17 za Halmashauri ya Mji Nanyamba.

Pamoja na mambo mengine baraza hilo lilichagua uongozi kwa nafasi za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu,

katibu msaidizi, mtunza hazina na wawakilishi wawili( wa kike na wa kiume) kama ifuatavyo:


1. Mwenyekiti-        Salim Saidi Namtumbikanya

2. Makamu mwenyekiti- Mohamedi Ismaili Adilike

3. Katibu-            Mwang'aka Mohamedi Ally

4. Katibu Msaidizi-   Kalauka Abdalah Hamisi

5. Mtunza Hazina-      

6. Mwakilishi Wanaume-

7. Mwakilishi Wanawake-


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Ndugu Thomas Mwailafu aliwaagiza viongozi waliochaguliwa kutimiza majukumu yao

kwa kadri ya miongozo na kanuni za Baraza la wazee ili waweze kuwasaidia wazee wote wa Halmashauri ya Mji wa Nanyamba

kutambulika na kupata haki zao.


Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh. Danstun kyobya alimuagiza mganga mkuu wa Halmashuri ya mji ahakikishe

wazee wanahamasishwa kujiunga na bima ya jamii ya afya lakini pia wanapewa kipaumbelea katika vituo vya kutolea huduma

za afya kwani wazee ni hazina ya Taifa.

Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA WANA NANYAMBA

    April 15, 2025
  • MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI DINYECHA YAFANA

    April 12, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA

    April 10, 2025
  • HAPPY KARUME DAY

    April 07, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.