Posted on: October 3rd, 2025
Leo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Nanyamba kimefanyika kikao cha wadau wa zao la korosho kwa lengo la kujadili ufanisi na tija ya msimu wa kilimo mwaka 2025/2026.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji...
Posted on: September 22nd, 2025
Wananchi kwa kushirikiana na watumishi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wameadhimisha Siku ya Usafishaji Duniani kwa kufanya usafi katika Kituo cha Afya Dinyecha. Zoezi hilo limekusudia kuhamasisha jami...