Posted on: December 5th, 2024
Katika kuhakikisha Halmashauri ya Mji Nanyamba unakuwa Mji wa kisasa leo tarehe 5/12/2024 kampuni ya @afrosolar_tz ya jijini Dar es Salaam imeingia mkataba na Halmashauri ya ufungaji wa Taa z...
Posted on: December 4th, 2024
Maadhimisho siku ya afya na lishe ya Mtaa (SALIM) wa Chitondola kata ya Dinyecha leo tarehe 04/12/2024 yamefanyika kwa shughuli za huduma jumuishi za Afua za Lishe na Chanjo zilitolewa ikiwa.
...
Posted on: December 4th, 2024
Shirika lisilo la kiserikali @smile4community kwa kushirikiana na shirika la @lsftanzania leo tarehe 4/12/2024 wamekabidhi mradi wa matundu manne ya vyoo na taulo za kike katika shule ya sekondari...