Posted on: January 25th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas leo tarehe 25/01/2024 ameongoza zoezi la upandaji miti ikiwa ni maadhimisho ya kampeni ya upandaji miti mkoa wa Mtwara.“Taasisi za elimu, jeshi, viwanda ...
Posted on: January 24th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Ahmed Abbas amefungua kikao kazi cha mkoa Mtwara kujadili vifo vya akina mama na watoto wachanga vitokanavyo na uzazi, kilichoanza Leo tarehe 24/01/2024 Halmashauri...
Posted on: January 17th, 2024
Hospitali ya Mji Nanyamba leo 17/01/2024 imekabidhiwa gari ya kubebea wagonjwa (Ambulance) yenye thamani ya Shilingi Milioni 240 za kitanzania. Halmashauri ya Mji Nanyamba ni miongoni wa halmashauri 1...