Posted on: February 17th, 2025
Leo tarehe 17/2/2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Nanyamba kumefanyika mafunzo maalumu ya ununuzi kwa njia ya mfumo(NEST) kwa watumishi wa chini wa Halmashauri ikijumuisha walimu wakuu, wakuu w...
Posted on: February 14th, 2025
Zikiwa zimesalia siku chache kuazimisha siku ya Wanawake Duniani tarehe 14/2/2024 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba kumefanyika kikao cha jukwaa maalumu la Wanawake katika ku...
Posted on: February 12th, 2025
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chawi kata ya Chawi wakipata chakula cha mchana kutokana na michango ya Wazazi na walezi wao....