Posted on: November 22nd, 2024
Waheshimiwa Madiwani, viongozi wa chama Mtwara vijijini, baadhi ya wakuu wa Divisheni na Vitengo waendelea na ziara ya kutembelea na kujionea kiwanda cha Matofali kinachomilikiwa na Jiji la Mwanza.
...
Posted on: December 21st, 2024
Ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya waheshimiwa madiwani leo wametembelea eneo la dampo la jiji la Mwanza eneo la Buhongwa Wilaya ya Nyamagana ikiwa lengo ni kujifunza jinsi ya kuweka Mji Nanyamba ...
Posted on: December 21st, 2024
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Ndg Peter Rehett akiwakaribisha Waheshimiwa Madiwani, Viongozi wa Chama Mtwara Vijijini na baadhi ya wataalam kutoka Mji Nanyamba leo tarehe 21/12/2024 katika zia...