Posted on: November 14th, 2024
Ikiwa ni Miaka saba Mfululizo Bank ya @nmbtanzania Tawi la Nanyamba leo tarehe 14/11/2024 imeendelea na utoaji wa vifaa kutokana na faida inayopatikana kwa wateja wao ya asilimia 1 kwa mwaka wamegawa ...
Posted on: November 15th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba anawakaribisha watumishi wote wa Ajira mpya Divisheni ya Afya katika Halmashauri ya Mji Nanyamba....
Posted on: November 10th, 2024
Jumla ya Watahiniwa 800 wanaotarajiwa kuanza Mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha Nne hapo kesho tarehe 11-29/11/2024 Wavulana 402 na Wasichana 398, Mikondo 28 kwa shule 12.Akitoa Taarifa ...