Posted on: September 11th, 2024
Jumla ya Watahiniwa 2,566 wavulana 1,126 na wasichana 1,440 sawa na Mikondo122 wanafunzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu darasa la saba utakaoanza kufan...
Posted on: September 29th, 2024
Shule ya Sekondari Nanyamba yakamilisha Mradi wa ujenzi wa chumba kimoja cha Darasa na Matundu nane ya vyoo .Mradi mwenye thamani ya milioni 38.4 kutoka serikali kuu.
...
Posted on: February 9th, 2024
Leo tarehe 09/02/2024 ikiwa ni siku ya pili ya baraza la madiwani kupokea na kujadili taarifa za kamati kiutendaji Kwa robo ya pili ya mwaka 2023/24; Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, W...