Posted on: February 2nd, 2025
Mheshimiwa Chikota atembelea na kukagua mradi wa Kituo cha afya Nyundo mapema leo tarehe 2/2/2025, mradi huo wa kituo cha afya Nyundo imetokana na juhudi za Mbunge wa jimbo la Nanyamba fedha zilizotok...
Posted on: February 2nd, 2025
Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe @chikota_abdallah leo tarehe 2/2/2025 ameboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kijiji cha Nyundo katika kituo cha Ofisi ya Nyundo B kata ya Nyundo...
Posted on: January 31st, 2025
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dinyecha wafikiwa na kampeni ya Msaada wa kisheria ijulikanayo @mslegalaidcampaign inayoratibwa na wizara ya @katibanasheria ikiwa leo ni siku ya nane toka kampeni hiyo...