Posted on: September 15th, 2023
Kituo cha afya Dinyecha kilichopo Halmashauri ya Mji Nanyamba, kilianza kutoa huduma Septemba 2013 kama “Zahanati ya kijiji” kabla ya kupandishwa hadhi mwaka 2017 na kuwa “Kituo cha Afya” ambapo...
Posted on: September 7th, 2023
Idara ya Maendeleo ya jamii Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa kushirikiana na waheshimiwa madiwani wa wamezindua majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi kwa ngazi ya kata, mitaa na vijiji.
Lengo la ...
Posted on: August 28th, 2023
MRADI ULIOGHARIMU 53,100,00 WAKAMILIKA.
Shule ya msingi Mtimbwilimbwi yakamilisha mradi wa BOOST ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu matatu ya vyoo wenye thamani Milioni 53.1 za Kitanza...