Posted on: January 27th, 2025
Mratibu wa Kampeni ya @mslegalaidcampaign katika Halmashauri ya Mji Nanyamba Ndg @kabado_christopher_ na afisa Ustawi wa Jamii Mji Nanyamba wakitoa elimu ya ukatili wa kijinsia shule ya Sekonda...
Posted on: January 26th, 2025
Ni siku ya tatu toka kampeni ya Msaada wa kisheria wa @mslegalaidcampaign ianze kutolewa Mkoani Mtwara kupitia Halmashauri zake tisa, wananchi wa kijiji cha Narunga kata ya Njengwa pamoja na Wanaf...
Posted on: January 26th, 2025
Wananchi wa kijiji cha Hinju kata ya Hinju wamejitokeza kupata huduma ya Msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya @mslegalaidcampaign nchi nzima inayosimamiwa na wizara ya @katibanasheria_ wananch...