Posted on: December 16th, 2024
Kijiji cha Chiwilo kata ya Nitekela leo tarehe 16/12/2024 imeadhimisha siku ya afya na lishe ya Kijiji kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile utoaji elimu juu ya
1.Upimaji wa afya ya Mtoto chini...
Posted on: December 16th, 2024
Katika kuhakikisha elimu ya afya na lishe inaendelea kutolewa tarehe 16/12/2024 kijiji cha Kitama Bondeni kata ya Nitekela wamefanya maadhimisho ya SALIK ikiwa ni pamoja na Elimu ya uandaaji wa Lishe ...
Posted on: December 16th, 2024
Maadhimisho siku ya afya na lishe ya Kijiji (SALIK) cha Namtumbuka kata ya Namtumbuka tarehe 16/12/2024 zimefanyika shughuli za huduma jumuishi za Afua za Lishe na Chanjo zilitolewa ikiwa.
- ...