Posted on: October 19th, 2023
Kata ya Njengwa kijiji cha Majengo leo tarehe 19/10/2023 waadhimisha Siku ya Afya na lishe ya kijiji watoto wapatao 167 wamefanyiwa tathimini ya hali ya lishe (udumavu,ukondefu na uzito pungufu).
Af...
Posted on: October 18th, 2023
Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa kuendelea kutafuta Vyanzo vya Mapato ya ndani inatarajia kuanzisha shule ya Mchepuo wa kiingereza Januari, 2024 kwa darasa la Awali na Msingi. Mkurugenzi wa Mji Ndg Tho...
Posted on: October 16th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Mwanahamisi Munkunda leo tarehe 16/10/2023 akabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Hanafi Msabaha.
Makabidhiano hayo yam...