Posted on: October 23rd, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Mhandisi Mshamu Munde, Waheshimiwa Madiwani, Timu ya Menejimenti na Watumishi wa Mji Nanyamba wanawatakia Mtihani mwema wa Upimaji kitaifa darasa la Nne...
Posted on: October 23rd, 2024
Weeee Mwananchi Wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Huduma ya Madaktari Bingwa wa Macho wamekufikia karibu kutambua changamoto ya macho inayokusumbua njoo Kituo cha afya Dinyecha upate huduma hiyo siku ya ...