Posted on: September 16th, 2023
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Mchengerwa (Mb) leo tarehe 16/09/20203 amewaambia wananchi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba kuwa serikali italeta watumishi 76 wa kada za afya na elimu ili kukidhi mahitaji yali...
Posted on: September 15th, 2023
Kituo cha afya Dinyecha kilichopo Halmashauri ya Mji Nanyamba, kilianza kutoa huduma Septemba 2013 kama “Zahanati ya kijiji” kabla ya kupandishwa hadhi mwaka 2017 na kuwa “Kituo cha Afya” ambapo...
Posted on: September 7th, 2023
Idara ya Maendeleo ya jamii Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa kushirikiana na waheshimiwa madiwani wa wamezindua majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi kwa ngazi ya kata, mitaa na vijiji.
Lengo la ...