Posted on: September 17th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Nanyamba Mhandisi Mshamu Ali Munde wa kati akila kiapo mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mtwara Mhe Lucas Mtimizi Jang'andu leo tarehe 17/9/2024....
Posted on: September 17th, 2024
Nyundo Sekondari ipo salama baada ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu nane ya vyoo kwa gharama ya shilingi milioni 62.4 toka Serikali Kuu.
Wananchi wa kata...