Posted on: September 17th, 2024
Nyundo Sekondari ipo salama baada ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu nane ya vyoo kwa gharama ya shilingi milioni 62.4 toka Serikali Kuu.
Wananchi wa kata...
Posted on: September 11th, 2024
Jumla ya Watahiniwa 2,566 wavulana 1,126 na wasichana 1,440 sawa na Mikondo122 wanafunzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu darasa la saba utakaoanza kufan...