Posted on: October 20th, 2023
Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe kata ya Kiyanga kijiji cha Mpanyani yamefanyika leo tarehe 20 Octoba, 2023 katika eneo la wazi la Zahanati ya Mpanyani.
Elimu ya Afya na Lishe imetolew...
Posted on: October 21st, 2023
Ukaguzi wa vyakula na elimu ya matumizi ya chumvi yenye madini joto yatolewa katika masoko na maduka katika kata za Halmashauri ya Mji Nanyamba leo tarehe 21/10/2023.Zoezi hilo limefanyika na Afisa...
Posted on: October 20th, 2023
Halmashauri ya Mji Nanyamba imenunua vibao 19 na mashine za Kupimia damu kwa wajawazito na vibao vya kupimia urefu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano vyenye thamani ya shilingi milioni Nn...