Posted on: September 5th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, Bi Zainabu Mgomi, amekabidhiwa jezi leo ofisini kwake na Afisa Michezo Yahaya Athumani Kibaraka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushiriki katika jogging.
...
Posted on: September 2nd, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, Bi. Zainabu Mgomi, ameshiriki zoezi la uchimbaji wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Namtumbuka.
Ushiriki wake unale...
Posted on: August 30th, 2025
Watumishi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba leo wamefanya zoezi la jogging lililopambwa na shughuli za usafi katika kituo cha mabasi cha Nanyamba. Zoezi hilo limehusisha idara mbalimbali za halmashauri k...