Posted on: January 8th, 2024
Halmashauri ya Mji Nanyamba yaanza kupokea wanafunzi wa shule za awali, msingi na sekondari Kwa msimu mpya wa masomo ulioanza leo tarehe 08/01/2024....
Posted on: January 5th, 2024
Leo tarehe 05/01/2024 waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Mji Nanyamba wakiongozwa na bodi ya korosho Tanzania watembelea mradi wa kongani ya viwanda vya korosho uliopo kijiji cha Mara...
Posted on: January 5th, 2024
Bodi ya korosho Tanzania leo tarehe 05/01/2024 imefika Halmashauri ya Mji Nanyamba kuzungumza na waheshimiwa madiwani kuhusu mradi wa kongani la viwanda vya korosholililopo kijiji cha Maranje, kata ya...